
I thought i should share this post.......
READ ALSO....... Jomvu Mp race ni Karisa Nzai. It's a YES!!!!!!! This Nzai is making it.

Joho:Mtampa tano tena Badi? Kwa ishara ya mikono nionyesheni
(Watu mikono chini) jamaa mbona huko kando kando mwanibwaga?
Sauti:Nzai tosha...Nzai tosha....
Joho:Tusidaganyane, kura ni chama. Yule jamaa ana sauti bungeni sababu ya wingi wa chama, Badi atakuwa Duale tarehe 9.
Sauti:Nzai tosha....Nzai toshaaaaa
Joho:Nduru ya Mama Ashu ambae atakuwa kwa bunge na Mishi Mboko...
Watu:(wakapiga nduru)
Sauti:Mishi Mboko ni wapi na wapi Jomvu?
Joho:Mtetezi wenu Seneta Faki pia mpitisheni (kimya). Mwisho kabisa msisahau kumpa Raila Amolo Odinga, kwaherini. D.J mbona uweki ngoma?
Wimbo: (darassa)blah blah... Sitaki kuskia.
watu wa ferry wakaingia matatu zao wakarudi.'' From Miritini resident who took it to socail media.
For Advertisments, Social media blogging, Politics and more email - jomvuwewant@gmail.com
No comments:
Post a Comment